You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Mwanamke mshona viatu Dar es salaam
Ni wazi usawa wa kuchagua kazi unaanza kushuhudiwa ukipungua katika mataifa mengi ulimqwenguni.Jijini Dar es salaam Tanzania, mwanamke ameamua kutoka nyumbani kuwa tegemezi hadi kwenda katika kati ya jiji na kushona,kuosha na kupiga rangi viatu. Anajivunia kazi yake.
Unyanyasaji wa Kijinsia Afrika Kusini
Mbali na hamasa ya dunia katika kupinga ukatili na unyanyasaji dhidi ya wanawake na wasichana, visa kama hivi vimeendelea kushuhudiwa licha ya mamalaka kusaini mikataba ya kimataifa katika kupinga dhuluma hizo zilizopewa kibali na mila na tamaduni kamdamizi. Bryson Bichwa kutoka Afrika kusini anamulika jamii hiyo.
Anaibua na kuwasilisha mawazo, changamoto za vijana, Je nirahisi?
Valentina Thomas ni msichana ambaye anaziibua changamoto za vijana na kuziwasilisha mahala husika anawasema vijana katika majukwaa mbalimbali, jamii,siasa, jinsia na hata kiuchumi anatamani kumuona msichana kutoka ulimwengu wa tatu akileta mabadiliko na kufungua minyororo iliomfunga msichana kutofikia malengo yake.
Wasichana wanavyosherehekea sikukuu
Wasichana wananamna yao ya kusherehekea sikukuu lakini katikati ya hili wanakumbana na madhila kadha wakadha ni vipi wanajilinda kutokana na madhila haya Na ipi nafasi ya wazazi?
Patricia: Apambana kuwawezesha wanawake kiusalama
Kila kukicha kwenye vyomba vya habari hutaacha kusiakia habari ya mwanamke alieumizwa, ikiwa ni kubakwa, kunyang'anywa mali na hata kudhulumiwa, hatua hii inampa sababu Patricia kutoa mafunzo kwa wanawake kujihami, lengo ni kubadili dhana kuwa mwanamke hawzi kujihami.
Mwanaharakati anaepambania elimu ya uzazi kwa wasichana
Anasomea taaluma ya afya kupitia fani yake anaelimisha jamii hasa wasichana wadogo juu ya hedhi salama. Anayafanya haya sababu mila na tamaduni zinaufumba ukweli juu ya elimu hii nyeti ambayo kila msichana anatakiwa kuifahamu angali mdogo ili kuwa na ustawi wa jamii ilio salama. Kwanini sasa?
Wanawake 23 wafa maji Sudan
Viongozi wa Sudan wasema wanawake 23 wanahofiwa kufa maji baada ya boti yao kuzama Mto wa Blue Nile.
Mfahamu mwanadada anayejipatia kipato kwa biashara ya mauwa
Kumekuwa na manunguniko kati ya watu wengi wakiwaza watatumia njia gani kutengeneza fedha,lakini Alisa Mushagalusa Rachel anajijengea pesa katika mji wa Bukavu,jimboni Kivu ya Kusini kutokana na biashara ya mauwa. #kurunziwanawake
Taliban yazuia wanawake kusafiri pake yao.
Hii ni hatua kali ya karibuni inayokiuka haki za binaadami dhidi ya wanawake nchini humo tangu Taliban iliporejea.
Ubakaji wa wanawake bado ni tatizo Kivu Kaskazini
Vitendo vya ubakaji vyaongezeka Kivu Kaskazini
Serikali ya Taliban yawazuia wasichana kurudi shule
Wasichana wavunjwa moyo kwa kuzuiwa kurejea shule na serikali ya Taliban huko Kabul
Mke wa Rais Zanzibar katika kutatua changamoto za wanawake
Katika kutatua changamoto zinazomkabili mwanamke wa Zanzibar, mke wa Rais Mwinyi, Bi. Maryam Mwinyi amefungua taasisi itakayoshughulikia changamoto hizi ili kuleta ustawi kwa wanawake hao.
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Wafungwa waadhimisha siku ya wanawake Kenya
Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani
Tanzania yaadhimisha siku ya wanawake duniani
Janga la Covid-19 limepora haki za wanawake na wasichana
Janga la Covid-19 limepora haki za wanawake na wasichana
Maoni: Siku ya Wanawake Duniani
Ungana na Grace Kabogo katika kipindi cha Maoni akiiangazia Siku ya Wanawake Duniani
Wanawake wameathirika zaidi katika utawala wa Taliban
Hata hivyo uchumi wake uliotegemea kwa kiasi kikubwa msaada kutoka nje sasa unaelekea kuporomoka.
Ethiopia: Wapiganaji wa Tigray walaumiwa kwa ubakaji
Amnesty International imesema ushahidi juu ya uhalifu huo umetolewa na wanawake 30 waliobakwa katika jimbo la Tigray.
Wanawake waliovikwa taji la nguvu duniani mwaka 2021
Katika makala hii ya wanawake na maendeleo, tunawaangazia wanawake waliovikwa taji la kuwa wanawake walio na nguvu duniani mwaka 2021. Je, ni kwanini wamevikwa taji hilo na mchango wao ni upi katika jamii wanakotoka? Amina Abubakar na mengi zaidi.
Taliban wayasifu mazungumzo ya Oslo
Mikutano hiyo inatarajiwa kugusia kila kitu kuanzia elimu hadi msaada wa kibinadamu na kutaka watu wote wajumuishwe.
Taliban na Magharibi waijadili hali nchini Afghanistan
Afghanistan inakabiliwa na mzozo mkubwa wa kibinaadamu na hasa njaa kali kutokana na hali ngumu ya uchumi na ukame.
Je, Tanzania ina mwelekeo mpya sasa?
Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha kuwa kiongozi anayewaamini wanawake katika nyadhifa mbali mbali za uongozi nchini Tanzania. Hii ni tafsiri iliyojitokeza na kuibua mijadala baada ya rais huyo kupitisha jina la naibu Spika wa bunge la Tanzania, Tulia Ackson, kuwa mgombea wa nafasi ya spika. Je ni mwelekeo mpya? Saumu Mwasimba amejadili na mchambuzi wa kisiasa Profesa Benson Bana.
Refa mwanamke wa soka kutoka Ghana
Kitaaluma yeye ni fundi wa vifaa vya maabara. Lakini yeye pia ni refa wa soka kutokana na mapenzi yake. Tangu zamani Audrey Atampugbire alipenda kuwa uwanjani licha ya kuwa ni jambo la nadra kuwaona wanawake refa uwanjani Ghana. Audrey anafanya juu chini kuondoa ghana kwamba soka ni mchezo wa wanaume na tayari wasichana wengine wameanza kufuata nyayo zake. #VijanaMubashara #77Asilimia
UN: Watetezi wa amani wanawake wana hali mbaya kiusalama
Wanawake wanaotafuta kuchagiza, kudumisha amani na kulinda haki za binaadamu wanakabiliwa na hali mbayaya usalama
Roberta Metsola spika mpya wa Bunge la Ulaya, ni nani?
Mwanasiasa wa kihafidhina wa Malta, Roberta Metsola ndiye spika mpya wa Bunge la Ulaya. Anawasilisha nini?
Nigeria: Ndoa za utotoni bado tatizo kubwa
Wasichana wengi bado wanaozwa wakiwa wadogo, kutokana na mila, umasikini na kukinzana kwa sheria.
Wanawake wanaopambana na uzito wa kupita kiasi kwa kunyanyua vyuma Togo
Uzito wa kupita kiasi unawakumba watu na unazidi kuongezeka hasa miongoni mwa wanaofanya kazi ofisini na kukosa nafasi ya kutembea. Mjini Lome Togo, mkufunzi wa mazoezi ya kunyanyua vyuma Mercy Tchwalla anawapa kina mama wanaokabiliwa na tatizo hilo mafunzo na mazoezi ya namna ya kulikabili. Tazama kwenye #VijanaMubashara #77Asilimia
Vipi wasichana wanavyoandaa sikukuu
Wasichana wanapo sherehekea sikukuu ni mavazi gani wanapendelea kuvaa maeneo gani hupendelea kwenda na changamoto gani wanazipitia wakati wa sikukuu na je wajilinde vipi?
Wenye jinsia mbili nchini Kenya waombewa sheria kuwalinda
Nchini Kenya, raia wametakiwa kuwapa heshima zao watu wenye jinsi mbili, kufuatia ripoti za kubaguliwa kwao kuongezeka.
Wasichana wanaodhamiria kuwa wanamitindo mahiri
Kutana na wasichana wanaopigania ndoto zao licha ya kuwa wanatoka katika mazingira duni lakini hali hiyo haijawa kisiki kwao. Azma yao kuu ni kutaka kuyafikia malengo yao ili wawe wanamitindo mahiri. Mtangazaji chipukizi Hadija Halifa anasimulia zaidi kwenye video zetu za Msichana Jasiri.
Maelfu ya wasichana, wanawake walitekwa Msumbiji-Ripoti
Human Right Watch yasema waasi nchini Msumbiji waliteka waliwateka nyara mamia ya wasichana na wanawake
Taliban watoa amri ya kuheshimu haki za wanawake
Taliban watoa amri ya kuheshimu haki za wanawake
Kutana na wasichana wanaotengeneza matofali Kampala
Licha ya kuwa wamehitimu shahada ya ualimu katika chuo kikuu, wasichana hawa kutoka Kampala Uganda wameamua kujitosa katika ujasiriamali. Wanatengeneza matofali ambayo hayahitaji kuchomwa kwa moto. Lubega Emmanuel anaangazia juhudi zao kwenye video yetu ya #KurunziWanawake.
Kina baba wahimizwa kuwapeleka watoto kliniki
Kuwashawishi wanaume kuandamana na wake zao kuwapeleka watoto kliniki imekuwa kibarua kigumu kwa kliniki nyingi. Lakini kliniki moja kaskazini mwa Ghana imepata njia na tayari inazaa matunda.
Ripoti: Wanawake na watoto 58 waliuliwa nchini Kenya
Ripoti mpya nchini Kenya yasema wanawake 58 na watoto waliuliwa kati ya mwezi Januari hadi Oktoba mwaka huu.
Ulimwengu kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Ulimwengu waelekea kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili
Je ni wakati wa kuzungumzia masuala ya uzazi kwa uwazi?
Je unadhani ni wakati sasa wa kuzungumzia kwa uwazi masuala yahusuyo uzazi ama masuala haya yaendelee kuwa siri? Tizama video hii kisha nipatie maoni yako.
Unajua nini kuhusu hedhi?
Hivi ni kwa nini jamii imekuwa ikiona aibu kuzungumza kwa uwazi masuala yanayphusu uzazi? Najua wengi watasema tamaduni zinawafunga mikono na kushindwa hata kuwaambia watoto ama wenza wao kuhusu masuala kama hayo. Kwa mfano unajua kila kilichopo kwenye mzunguko wa hedhi? uliwahi kuzungumza na nani kuhusu hedhi? uliridhika? Tizama video hii halafu unaiambie.
Je ni wakati wa kuzungumzia masuala ya uzazi kwa uwazi?
Je unadhani ni wakati sasa wa kuzungumzia kwa uwazi masuala yahusuyo uzazi ama masuala haya yaendelee kuwa siri? Tizama video hii kisha nipatie maoni yako.
Hebu tuzungumzie tofauti kati ya kizinda na bikra
Nina hakika kwamba bado kuna wengi wanaoshindwa kutofautisha kati ya kizinda na bikra kwa wanawake. Hali hii huwagharimu wanawake wengi na hasa inapofikia hatua ya kuolewa. Wengine hutumia njia mbalimbali kukirudisha kuanzia za jadi hadi za kisaa zinazogharimu fedha nyingi tu. Tuna mtaalamu hapa anayetuambia kwa kina kuhusu kizinda.
Hebu tuzungumzie kwa kina sehemu za uke?
Najua bado kuna mengi ambayo huyafahamu kuhusu sehemu ya uke, ambayo huwa kwenye mwili wa mwanamke. Hiki ni mojawapo ya kiungo cha uzazi cha mwanamke, lakini ni jina la jumla la sehemu ya nje tu ya uzazi ya mwanamke na ndani yake kukiwa na viungo mbalimbali vya uzazi. Unajua kwamba huwa kinabadilika kutokana na mambo mbalimbali? Ungana nasi kusikiliza zaidi kutoka kwa mtaalamu.
Hebu tuizungumzie hedhi ya mwanamke
Wengine huuita ni "wakati ule wa mwezi", wengine wanasema "siku zake" na majina mengine mengi tu. Lakini ukiachana na haya yote, kuna neno moja tu, HEDHI. Unajua nini kuhusu hedhi? Mfululizo wa makala za Jinsia na Mwili zina mengi unayoweza kufaidika nayo, na hasa linapokuja suala la kuzungumza kwa uwazi na kwa kina. Ungana nasi hapa kusikiliza mengi kutoka kwa mtaalamu kuhusu HEDHI.
Wapiganaji wa Tigray walibaka, kupora na kuwapiga wanawake
Wanawake 16 kutoka Nifas Mewcha waliiambia Amnesty kuwa walibakwa na wapiganaji wa TPLF wanaopigana dhidi ya serikali.
Kikosi cha kina dada pekee Kenya kinachowahudumia wanyama pori
Ni kikosi kinachoitwa Team Lioness. Kinawajumuisha kina dada na wanawake pekee katika kuwahudumia wanyama pori nchini Kenya. Licha ya ukali wa wanyama pori pamoja na hatari iliyoko, wamejifunza na hizo si hofu kwao. Je misukumo yao ilitokana na nini? Wanamudu vipi kazi yao na kupiku changamoto zilizopo? Thelma Mwadzaya na mengi zaidi.
Bendi ya wanawake pekee Dar es Salaam
Bendi ya wanawake Bahati huwajumuisha wanawake 15. Wenyewe ndio huimba, hupiga ala za muziki ikiwemo gitaa, na kusakata rumba wanapotumbuiza katika kumbi mbalimbali ndasni na nje ya nchi. Wanasema lengo lao ni kukuza vipaji vya wanawake na wasichana wengine. #KurunziWanawake
Ulaya bado inajikongoja masuala ya usawa wa jinsia
pengo kubwa bado lipo kwa wanawake kushika nafasi za uongozi ama mamlakani.
UN: Wanawake, watoto wako hatarini katika vizuizi vya Libya
UN yaonya wanawake na watoto wako hatarini katika vizuwizi vya Libya
Kaptein mwanamke anayeendesha kivuko Mtwara Tanzania
Makala hii ya Wanawake na Maendeleo inamwangazia Kapteini mwanamke anayeongoza kivuko na boti za haraka mkoani Mtwara kusini mwa Tanzania. Makala imeandaliwa na Salma Mkalibala.
HRW: Wasichana waliofukuzwa shule Tanzania wateseka
Human Rights Watch imesema wasichana wanaofukuzwa shule kwa kupata ujauzito Tanzania wanakosa haki yao ya kupata elimu.
Maandamano ya wanawake Afghanistan sasa hayafanyiki tena
Wanawake nchini Afghanistan wanaopinga kile Taliban inachokisema na kufanya tangu kundi hilo lilipodhibiti madaraka, sas
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 10 wa 21
Ukurasa unaofuatia