You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wasichana bikra kupata msaada wa masomo Afrika Kusini
Nchini Afrika Kusini meya wa mkoa wa KwaZulu-Natal ametangaza kuwapatia msaada wa kujiendeleza na masomo ya juu, wasichana waliobainika kuwa bado ni mabikra. Kwanini Afrika Kusini inaendeleza mila hii ya kukagua bikra wasichana ? Ungana na Saumu Mwasimba katika kipindi hiki cha utamaduni na sanaa
Uhaba wa pedi wafanya wasichana wengi wakose masomo Kenya
DW inaangazia makundi yanayosaidia wasichana wanaoshindwa kwenda shule kwa kukosa sodo ama pedi.
Mapambano ya wanawake wenye ulemavu kukabili maisha
Mapambano ya wanawake wenye ulemavu kukabili maisha
Wanawake washambuliwa kingono mwaka mpya Cologne
Wanaume wanaoelezwa kuwa na asili ya Kiarabu au Afrika Kaskazini walihusika.
Vikoba: mfumo mpya wa kuchangiana pesa kina mama
Shirika moja nchini Kenya limeubadilisha mfumo wa upatu na kuufanya ulingane na vyama vya kutoa mikopo na akiba. Umepewa jina la "Vikoba" ama kwa lugha ya kigeni "Table Banking" na unatumika kuwasaidia kinamama kujikwamua kimaisha.
Wanawake wa mipakani wanavyotumia fursa ya biashara
Wanawake mpakani mwa nchi za Afrika Mashariki watumia fursa kujiendeleza
Wanawake na mitindo mipya ya nywele
Wanawake wa Ivory Coast wapigia debe mitindo ya nywele za asilia. Wangelipenda kuwa kielelezo chema kwa bara zima.
Samia Suluhu - makamu wa rais wa Tanzania
Kwa mara ya kwanza katika historia yake, Tanzania imepata makamu wa rais mwanamke. Je, Samia Suluhu ni nani?
Sayon Bamba awakomboa wanawake kimuziki
Mwanamuziki wa Guinea afungua chuo cha muziki cha wanawake
Sayon Bamba ni mwanamuziki wa Conakry aliyefungua chuo cha muziki ili kuwafunza muziki wanawake vijana
Sayon Bamba, mwanamke katika biashara ya muziki nchini Guinea, ambayo imetawaliwa zaidi na wanaume, ameamua kuweka kando changamoto alizokumbana nazo wakati anasomea muziki, na badala yake kuanzisha chuo katika mji mkuu Conakry, kinachowawezesha wanawake ambao wamekutana na ubaguzi katika sekta ya muziki iliyotawaliwa na wanaume.
Wanawake wa Korea walidhalilishwa kingono
Japan na Korea Kusini zimekubaliana kuzungumzia udhalilishaji wa kingono waliofanyiwa wanawake wa Korea kusini
Wanawake na utamaduni wa 'upatu'
Mfumo wa kibenki usio rasmi lakini wenye uhakika
Ni siku 500 tangu kuchukuliwa mateka wasichana wa Chibok
Licha ya shinikizo zinazotolewa dhidi ya serikali, wasichana 219 bado hawajapatikana
Wanawake wanajikuta mikononi mwa wanamgambo
Wasichana wenye umri mdogo wanaendelea kujikuta mtegoni kutokana na njama za wanamgambo wenye itikadi kali
Wanawake wanyarwanda waliowasha umeme wa jua kijijini kwao
Kundi la wanawake wanne nchini Rwanda limewasha umeme utokanao na nishati ya jua kwenye kijiji kizima mashariki ya nchi hiyo. Jiunge na Sylivanus Karemera kusikiliza makala ya 'Wanawake na Maendeleo'.
Marekani mabingwa wa Kombe la Dunia la Wanawake
Marekani imelipiza kisasi kwa kuwachabanga mabingwa watetezi Japan na kutwaa Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada
Japan na Marekani kukutana tena katika fainali
Japan na Marekani kuchuana katika fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada. Je Japan itahifadhi Kombe?
Wabakwa na kuchoma moto Sudan Kusini
Ripoti iliyotolewa na Umoja wa Mataifa imesema kuwa Wanajeshi wa Sudan Kusini waliwabaka na kisha kuwachoma moto wasichana wakiwa hai majumbani mwao wakati wa operasheni mpya ya kikatili iliyofanywa hivi karibuni.
Kombe la Dunia la Wanawake laingia nusu fainali
Michuano ya nusu fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake inatarajiwa kuwa na msisimko wa na burudani la aina yake, kwa kuwaleta miamba watatu wa mchezo huo pamoja na England
Wanawake washiriki mafunzo ya Kampeni Tanzania.
Wanaharakati wa mashirika yasiyo ya kiserikali nchini Tanzania wanaendeleza jitihada za kuwajengea uwezo wanawake ili kuwawezesha kushiriki katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 nchini humo.
Ujerumani kuvaana na Sweden katika robo fainali
Michuano ya robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake inaanza leo nchini Canada, wakati Ujerumani itashuka dimbani na Sweden mjini Ottawa.
Kombe la Dunia la Wanawake: Ujerumani yatinga robo fainali
Kikosi cha kocha Silvia Neid ni moja kati ya timu zinazopigiwa upatu katika Kombe la Dunia la Wanawake nchini Canada na sasa kitacheza robo fainaili baada ya kupata ushindi wa 4-0 dhidi ya Thailand
Ujerumani, Norway zalenga robo fainali ya Kombe la Dunia
Mabingwa wa zamani Ujerumani na Norway wanalenga kutinga katika robo fainali ya Kombe la Dunia la Wanawake pamoja na wenyeji Canada, wakati hatua ya mwisho ya mechi za makundi iking'oa nanga.
Virusi Trojaner vyavuruga data za bunge la shirikisho
Bora amani kuliko mvitano wanasema wananchi wa jumuia ya NATO
Morocco: Ndoa za utotoni bado tatizo
Ndoa za utotoni bado ni tatizo miongoni mwa jamii za kiislamu.
Maelfu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Malefu wakimbia Niger wakiihofia Boko Haram
Wasichana wa Chibok: Mwaka mmoja utumwani
Ni mwaka mmoja sasa tangu wasichana yaidi ya 200 walipotekwa na Boko Haram huko Nigeria
Neid kujiuzulu kama kocha wa timu ya wanawake ya Ujerumani
Silvia Neid atajiuzulu kama kocha wa timu ya Ujerumani ya wanawake katika mwaka wa 2016. Shirika la Kandanda la Ujerumani limesema nafasi ya Neid itachukuliwa na aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa Steffi Jones
Usawa wa jinsia na nguvu kazi
Sheria zinazowabagua akinamama kikazi zibatilishwe
Ukeketaji: desturi haramu inayoendelea
Ingawa desturi hiyo ni ya ukatili, jamii ya wafugaji ya Pokot nchini Kenya inaiendeleza.
Wasichana Kenya watumia miili yao kujikimu kimaisha
Wasichana wadogo nchini Kenya wamekuwa wakilazimika kujiingiza katika unywaji pombe na uuzaji wa miili yao kama njia ya kujipatia chakula wao na familia zao.
Tanzania: Wasichana wengi waolewa mapema
Shirika la kutetea haki za binadamu, Human Rights Watch, linaema wasichana wa Kitanzania wanaoolewa wakiwa na umri mdogo kabisa. Shirika hilo linataka umri wa chini uwe miaka 18.
Melinda:Wezesha wanawake kuisaidia Afrika
Licha ya uwepo wa fikra tofauti juu ya maendeleo kwa wanawake mfadhili Melinda Gates, anaamini ukitaka kuisaidia Afrika kwanza anza na wanawake kwa kuwa ni ufunguo katika kukuza uchumi na maendeleo Afrika
Wako wapi wasichana waliotekwa na Boko Haram?
Miezi sita imeshapita tangu wanafunzi wa kike zaidi ya 200 walipotekwa nyara na wanamgamo wa itikadi kali ya Kiislamu wa Boko Haram huko Chibok nchini Nigeria.
Wanawake wadhalilishwa kingono Somalia
Shirika la kutetea haki za binaadamu limesema, wanajeshi wa Umoja wa Afrika wanaolinda amani nchini Somalia wamewadhalilisha kingono wasichana na wanawake wa kisomali wanaoishi katika mazingira magumu mjini Mogadishu.
Wanawake na wasichana 60 waliotekwa nyara na Boko Haram watoroka
Zaidi ya wanawake na wasichana 60 waliokuwa wametekwa nyara na kundi la waasi wenye itikadi kali la Boko Haram kaskazini mwa Nigeria wamefanikiwa kutoroka huku viongozi wa Chiboka wakitaka ulinzi kutoka umoja wa Mataifa
Wolfsburg yahifadhi kombe la Champions League kwa wanawake
Wachezaji wanawake wa klabu ya Wolfsburg wamefanya kile Bayern Munich yake Pep Guardiola haingefanya – kuhifadhi taji la Champions League. Hii ni baada ya kuizaba Tyresö FF ya Sweden magoli manne kwa matatu
Juhudi za kimataifa zaongezeka kuwaokoa wasichana wa Nigeria
Juhudi za kimataifa za kuwaokoa wasichana zaidi ya mia mbili waliotekwa nyara Nigeria na kundi la waasi la Boko Haram zimeongezeka huku nchi mbali mbali zikijitolea kusadia katika shughuli ya uokozi
Rais wa Nigeria aahidi kuwaokoa wasichana waliotekwa nyara
Rais wa Nigeria Goodluck Jonathan ameahidi kuwakomboa zaidi ya wasichana 200 waliotekwa nyara na Boko Haram huku suala hilo likigubika mkutano wa dunia wa kiuchumi unaopaswa kuangazia fursa za uwekezaji barani Afrika
Mamia ya wasichana waliotekwa nyara Nigeria bado hawajulikani waliko
Shirika la kutetea wanawake nchini Nigeria limeitisha maandamano ya wanawake milioni moja katika mji mkuu , Abuja kupinga kushindwa kwa serikali kuwaokoa mamia ya wasichana wa shule waliotekwa nyara na Boko Haram
Haki za Wasichana
Wanawake barani Afrika wamekuwa na nguvu nyingi katika miaka iliyopita na hata kushika nafasi za uongozi. Licha ya hilo, wasichana wengi bado wanapambana na ubaguzi. Safari ya kufikia usawa wa kijinsia bado ni ndefu.
Athari za mila kwa afya ya mwanamke
Jamii nyingi za Kiafrika zimekuwa zikiendeleza mila na desturi ambazo kwa njia moja ama nyengine zinaathiri afya za wasichana na wanawake watu wazima kwa kiasi kikubwa, licha ya kampeni kubwa kupinga mila hizo.
Wanawake na changamoto kilimo cha mpunga
Wanawake, kundi ambalo linaelezwa kuchangia kwa kiasi kikubwa katika kuzalisha zao la mpunga Afrika wanatumia vifaa duni vya kufanyia kazi ikilinganishwa na wanaume na hivyo kujikuta wakirudi nyuma katika maendeleo.
Uhusiano wa jinsia na mabadiliko ya tabia nchi wajadiliwa mjini Warsaw
Mkutano wa Kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabia nchi unaendelea mjini Warsaw, Poland, ambapo suala la jinsia na uhusiano wake katika mabadiliko hayo linajadiliwa kwa upana.
Wanawake Kenya kunyimwa haki ya kumiliki mali ya ndoa
Bunge la Kenya limeidhinisha mswada unaowanyima wanawake haki ya kugawana nusu kwa nusu mali ya ndoa kama watatalikiana na waume zao. Mume na mke watagawana mali ya ndoa kulingana na mchango wa wote
Wanawake wa Saudi Arabia kukiuka marufuku ya kuendesha magari
Wanawake nchini Saudi Arabia wanapania kukiuka marufuku ya kutoendesha magari kwa kuandaa kampeni itakayoshuhudia wanawake hao wakishika usukani katika nchi hiyo ya kifame ambapo ni mwiko kwa wanawake kuendesha magari
Michezo Wikiendi: Ujerumani, Norway, nani zaidi soka ya wanawake?
Ujerumani yasaka taji la sita mfululizo katika mashindano ya ubingwa wa soka ya Wanawake barani Ulaya. Bayern Munich na Borrusia Dortmund zapambana katika Super Cup, na Usain Bolt ashinda tena Uingereza.
Wanawake watatu wauwawa katika Maandamano ya Misri
Ghasia kati ya wafuasi na wapinzani wa rais aliyeondolewa madarakani Mohammed Mursi zimesababisha mauaji ya wanawake watatu katika mji wa Mansura nchini Misri.
Wanawake Zimbabwe wataka usawa wa kijinsia
Wakati Zimbabwe ikielekea katika uchaguzi mkuu mwezi ujao, Umoja wa wanawake unaounga mkono mambo ya siasa WiPSU, umezindua Kura kwa kampeni ya mwanamke ili kuongeza idadi ya wanawake katika utungaji wa sera na maamuzi
Sudan kusini yatakiwa kuheshimu haki za wa wanawake
Miongoni mwa matatizo ya kijamii yanayolikabili taiafa changa la Sudan kusini, kubwa ni mtindo wa watoto wadogo kuolewa mapema. Licha ya kuwepo sheria za kuwalinda lakini sheria hizo bado hazifanyi kazi ipasavyo.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 17 wa 21
Ukurasa unaofuatia