You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Edward Snowden
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Viongozi wa ulimwengu wamuenzi Jimmy Carter
Marekani yasema dunia imempoteza kiongozi shupavu, mwanasiasa na mfadhili wa misaada ya kibinadamu.
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter afariki
Jimmy Carter alijulikana kwa kazi yake ya kibinadamu na alishinda Tuzo ya Amani ya Nobel mnamo mwaka wa 2002.
Mazishi ya waziri mkuu wa zamani wa India Singh yaanza
Mazishi ya kitaifa kwa Waziri Mkuu wa zamani wa India Manmohan Singh yaanza
Trump aiomba mahakama kusitisha marufuku dhidi ya TikTok
Donald Trump ameiomba mahakama kuu kusitisha kwa muda utekelezaji wa sheria inayoweza kuipiga marufuku TikTok.
Jeshi la Marekani limewaua wapiganaji wawili wa Al-Shabaab
Jeshi pia limemuua mmoja wa kiongozi wa kundi la kigaidi Mohamed Mire Jama, anayejulikana pia kama Abu Abdirahman.
Trump awatakia Xmas njema "wapuuzi" wa mrengo wa kushoto
Biden alihimiza umoja na tafakuri huku Trump akiulenga mrengo wa kushoto, China katikati mwa mgawiko mkubwa Marekani.
Jeshi la Marekani lawaua wapiganaji wawili wa IS, Syria
Kundi la IS liliangamizwa mwaka 2019 lakini mizizi yake bado ipo nchini Syria
Trump aapa kukomesha wazimu wa jinsia mbili kama kipaumbele
Trump anapanga kuchukuwa hatua kali za kuondoa watu wa jinsia mbili katika huduma za kitaifa na kijamii.
China yaionya Marekani kuwa inacheza na moto kuhusu Taiwan
Taiwan ni kisiwa cha kidemokrasia chenye watu milioni 23 na serikali ya China imekuwa ikidai kuwa ni eneo lake.
Iran yalalamikia rasmi kukamatwa raia wake wawili
Iran hata hivyo imekanusha kuhusika kwa namna yoyote na shambulio hilo,ikisema tuhuma dhidi yake hazina msingi.
Gaza, Ukraine, sera ya ndani vyatia kiwingu urathi wa Biden
Kipaumbele chake ni kujenga urathi wake katika uzalishaji wa ndani huku akijaribu kudhoofisha ahadi za Trump.
Ujumbe wa Marekani wawasili Damascus kwa mazungumzo
Marekani imesema hatua hiyo imechukuliwa kwa matumaini ya kuhimiza kufuatwa siasa za misimamo ya wastani na jumuishi
Wanadiplomasia wa Marekani wakutana na watawala wapya Syria
Wanadiplomasia wa Marekani wako nchini Syria kufanya mazungumzo ya moja kwa moja na watawala wa Hayat Tahrir al-Sham.
Mkwamo bunge la Marekani: Warepublican wawakaidi Trump, Musk
Marekani inakabiliwa na kufungwa kwa serikali baada ya Warepublican kukataa mpango wa kuzuia hali hiyo.
Blinken kutangaza ufadhili zaidi kwa Sudan katika UN
Mgogoro wa Sudan ulioanza Aprili 2023 umesababisha vifo vya maelfu ya watu na mamilioni kuyahama makazi yao.
Mazungumzo ya kusitisha mapigano ya Gaza yashika kasi Cairo
Kundi la Hamas kwa upande wake linadai kupewa dhamana na ahadi za uhakika ili kufanikisha kupatikana makubaliano ya kina
Vyanzo: Mkataba usitishaji vita Gaza unakaribia
Vyanzo kadhaa vimearifu kwamba makubaliano ya kusitisha vita kwenye Ukanda wa Gaza yanakaribia.
EU kuanzisha mawasiliano na utawala mpya wa Syria
Miito inatolewa kwa Umoja wa Ulaya kuongeza uhusiano wa moja kwa moja na viongozi wapya wa Syria
China na Marekani zinaweza kufanya kazi pamoja zikiungana
China na Marekani zinaweza kufikia mengi zikiungana na kufanya kazi pamoja
Ujerumani kufanya mazungumzo na mamlaka mpya ya Syria
Ujerumani yaungana na Marekani na Uingereza kuanzisha mazungumzo na kundi la HTS
Spika wa Zamani, Nancy Pelosi amelazwa nchini Ujerumani
Nancy Pelosi amelazwa hospitalini baada ya 'kupata jeraha' la kuanguka katika akiwa safarini Luxembourg
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Jordan kuwa mwenyeji wa mazungumzo ya mageuzi ya Syria
Blinken afanya ziara nchini Iraq kuhusu hali ya Syria
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Antony Blinken amekutana na waziri mkuu wa Iraq Mohammed Shia al-Sudani.
Marekani yaona ishara ya makubaliano ya Gaza
Marekani inasema kuna matumaini ya makubaliano ya kusitisha mapigano ya Gaza, huku Israel ikiendelea na mashambulizi.
China, Misri zaelezea wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya Syria
China na Misri zimedhihirisha wasiwasi wao mkubwa kuhusu hali inayoendelea nchini Syria.
Marekani yatangaza msaada mpya kwa Ukraine
Serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden, imetangaza msaada mwingine wa silaha kwa Ukraine wa thamani ya dola milioni 500.
Marekani yapongeza mkataba mpya kati ya Ethiopia na Somalia
Marekani imepongeza makubaliano yaliyofikiwa na Somalia na Ethiopia ya kumaliza mivutano ya kikanda.
Marekani yalaani mauaji ya vikongwe 200 nchini Haiti
Marekani imelaani vikali mauaji ya takriban watu 200 yaliyofanywa na wanachama wa genge moja la uhalifu nchini Haiti.
Iran yazishutumu Israel, Marekani kwa anguko la Assad
Israel inasema imefanya mashambulizi kadhaa dhidi ya vituo vya jeshi la anga la Syria, ikidai kuweka eneo la ulinzi.
UN: Watu 184 wafariki dunia Haiti kutokana na ghasia
Mkuu wa kitengo cha haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa Kamishna, Volker Turk, amesema watu 184 wameuawa katika mji
Raia wa Syria washerehekea kuanguka utawala wa Assad
Raia wa Syria wamemiminika katika uwanja mkuu kwenye jiji la Damascus hii leo Jumatatu kuashiria mapambazuko yaliyokuwa
Urusi yasema iko tayari kwa lolote vita vya Ukraine
Lavrov amesema Urusi itahakikisha mataifa ya Magharibi hayafanikishi kile yanachokiita "ushindi wa kimkakati".
Biden azuru mradi wa reli nchini Angola, anapomalizia ziara
Biden azuru mradi wa reli nchini Angola, anapomalizia ziara
Hatimaye Biden awasili Angola
Rais wa Marekani Joe Biden amewasili Angola kwa ziara yake ya siku tatu iliyosubiriwa kwa muda mrefu ya mataifa ya kusin
Rais Biden katika ziara ya siku mbili nchini Angola
Mradi mkubwa wa ujenzi wa miundombinu ya reli ni kinzani kwa uwekezaji wa China nchini Angola.
Rais Biden aanza ziara ya siku mbili nchini Angola
Ziara ya Biden inalenga kukabili ushawishi wa China na kutimiza ahadi aliyotoa 2022 ya kuimarisha mahusiano na Afrika.
Biden amsamehe mwanawe Hunter mashtaka ya jinai
Rais wa Marekani Joe Biden amempa mwanawe Hunter Biden msamaha wa rais na kumkinga na kifungo jela kutokana na makosa ya
Rais Zelensky ataka Marekani iipigie chapuo kuingia NATO
Rais Zelensky aitaka Marekani iushawishi Umoja wa Ulaya ukubali kuikaribisha Ukraine NATO
Trump amemteua Kash Patel kama mkurugenzi mpya wa FBI
Trump amemteua Kash Patel kama mkurugenzi mpya wa FBI
Maelfu ya Walebanon warejea baada ya kusitishwa kwa vita
Maelfu ya raia wa Lebanon wamerejea nyumbani kusini mwa Beirut Jumatano, baada ya mpango wa kusitisha vita.
Viongozi wapongeza makubaliano ya usitishwaji vita Lebanon
Baada ya taarifa hiyo, kundi la Hamas limesema pia liko tayari kusitisha vita na Israel katika Ukanda wa Gaza.
Usitishaji wa mapigano kati ya Israel na Hezbollah waanza
Usitishaji wa mapigano kati ya Israel na Hezbollah waanza kutekelezwa
Mkuu wa NATO Rutte afanya mazungumzo na Trump huko Florida
Mkuu wa NATO Rutte alifanya mazungumzo na Trump huko Florida
COP29: Makundi yatoka kwenye ukumbi wa mazungumzo kwa hasira
Mgawanyiko waonekana katika mazungumzo ya COP29 kati ya serikali za mataifa tajiri na nchi zinazoendelea
Trump amteua mfanyabiashara Bessent kama waziri wa fedha
Trump amteua mfanyabiashara Scott Bessent kama waziri wa fedha
Urusi: Kombora dhidi ya Ukraine onyo kwa nchi za Magharibi
Ikulu ya Kremlin imesema shambulio la kombora la Alhamisi dhidi ya Ukraine ni ujumbe muhimu kwa mataifa ya Magharibi.
Pyongyang yasema Marekani imethibitisha uadui usiobadilika
Matamshi ya Kim dhidi ya Marekani yametolewa miezi michache kabla ya kurejea madarakani kwa Donald Trump.
Bodi ya IAEA yailaani Iran kwa kushindwa kutoa ushirikiano
Bodi ya Shirika la (IAEA) imeilaani Iran kwa kushindwa kulipa ushirikiano shirika hilo la kudhibiti nishati ya nyuklia.
Putin: Vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia
Serikali ya Ukraine imetoa wito kwa jumuiya ya kimataifa kuchukua hatua ya haraka dhidi ya Urusi.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 70
Ukurasa unaofuatia