You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Kombe la dunia kwa wanawake Ufaransa yaanza vizuri
Wanawake wa Ufaransa wamechukua hatua ya kwanza kufuata nyayo za kombe la dunia kwa wanaume wa nchi hiyo.
Je wenyeji Ufaransa watafurukuta mbele ya Wakorea?
Kombe la dunia la wanawake 2019
Mapambano ya ukeketaji yanafanane na ya Ukimwi
Wanaharakati hao wamesema, mapambano ya ukeketaji hayachukuliwi kwa uzito kama ilivyo kwa Ukimwi
HRW: Wasichana walikuwa wahanga wa unyanyasaji kingono Kasai
Mgogoro wa Kasai DRC
Wanawake wa Korea Kaskazini wageuzwa watumwa wa ngono China
Ripoti yasema Wakorea wengi wa Kaskazini ni watumwa katika madanguro katika wilaya za kaskazini mashariki mwa China.
Wanawake wasomi wanaojiajiri wenyewe Tanzania
Kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo, Zainab Aziz anawaangazia baadhi ya wanawake wasomi wanaojiajiri wenyewe nchini Tanzania badala ya kungoja kuajiriwa. Wanawake hao wanatoa mfano wakati ambapo ukosefu wa ajira ni mtihani mkubwa kote ulimwenguni lakini hasa katika nchi zinazoendelea.
Papa Francis: Madai ya wanawake ni halali kutaka haki zaidi
Hasa miito ya kumtaka Papa kutambua uharaka wa mabadiliko makubwa ya kuwapa wanawake nafasi za uongozi.
Siku ya kimataifa ya Wanawake yaadhimishwa
Jinsi watu wanavyoishi kuambatana na nia ya kuleta mabadiliko chanya katika maisha ya wanawake na wasichana.
Spika Uganda aunga mkono shindano la wanawake wanene
Spika wa bunge Uganda aunga mkono shindano la 'Miss Curvy'
Wajue wanawake 10 mahiri zaidi wa soka duniani
DW inawatambulisha wanawake 10 bora zaidi kwenye soka, kwa kuzingatia uteuzi wa tuzo za FIFA za Ballon d'Or.
Wanawake wakisaudi wakimbilia Ujerumani
Hakuna uhuru kwa wanawake wakisaudi na ndio sababu kubwa wanayoitowa ni kwanini wameamua kuikimbia nchi yao
Djinnit ahimiza wanawake wapewe nafasi za uongozi Afrika
Djinnit asema wanawake wana ushawishi mkubwa katika kushinikiza amani na mapatano.
Waziri wa Uganda akosolewa kuwahusisha wanawake na utalii
Wengi wameutaja mpango huo kuwa unaodunisha hadhi ya mwanamke.
UN: Wanawake ni waathirika wakuu wa biashara ya binaadamu
Umoja wa Mataifa iumesema wanawake na wasichana wanaiwakilisha zaidi ya asilimia 70 ya biashara ya binaadamu.
Usawa wa kijinsia makazini utachukua miaka 200
Wanawake wanakabiliwa na safari ndefu ya miaka 200 kupata usawa wa kijinsia ulimwenguni kote.
Tanzania: Matukio ya ukatili wa kijinsia
Tanzania inaendelea kugubikwa na matukio ya ukatili wa kijinsia kwa wanawake.
Haki za binadamu, majivuno ya wanaume na #MeToo
Miaka 70 kamili ya mkataba wa haki za binadamu, Amnesty International yatoa ripoti yake mpya kuhusu haki za binadamu.
Benki ya Dunia: Ndoa za mapema zagharimu nchi nyingi mapato
Zaidi ya theluthi moja ya wasichana kusini mwa Jangwa la Sahara wanaolewa kabla kufikisha umri wa miaka 18.
Tamasha la Jinsia nchini Tanzania
Sikiliza namna tamasha hilo linaloandaliwa kila mwaka nchini Tanzania linavyowasaidia wanawake kujikwamua kiuchumi na hasa wa maeneo ya vijijini
Zaidi ya Wanawake na Wasichana 200 wabakwa Sudan Kusini
Umoja wa Mataifa umelaani mashambulizi hayo ya kingonoo dhidi ya Wanawake na Wasichana wa Sudan Kusini.
Matumizi ya nguvu dhidi ya wanawake magazetini
Matumizi ya nguvu dhidi ya wanawake magazetini
Denmark yasitisha msaada kwa Tanzania
Denmark kuzuia sehemu kubwa ya fedha za misaada
Katika siasa za Ujerumani, wanawake bado wana safari ndefu
Miaka 100 tangu wanawake kupata haki ya kupiga kura, bado hakuna usawa. Nini kimekwenda kombo?
Ukeketaji wapungua miongoni mwa wasichana wadogo
Afrika mashariki ukeketaji umepungua
Je wanawake si wafisadi zaidi kama wanaume?
Je unafikiri wanawake si wafisadi sana kama wanaume? Tazama baadhi ya maoni yaliyotolewa na watu nchini Ghana
Rwanda kuwa na asilimia 50 ya wanawake mawaziri
Taifa hilo linatambuliwa kimataifa kutokana na uwakilishi wa wanawake serikalini, unaofikia asilimia 61 ya wabunge.
Wanajeshi wa upinzani Sudan Kusini waliwateka wanawake: UN
Watu 900 walitekwa na wengine 24,000 walilazimishwa kuyakimbia makazi yao kutokana na kuongezeka kwa mapigano.
Ethiopia: Asilimia 50 ya baraza la mawaziri ni wanawake
Baraza hilo lina waziri wa kwanza wa ulinzi ambaye ni mwanamke,
Siku ya kimataifa ya Wanawake wa Vijijini
Guterres: uwezeshaji kwa wanawake una umuhimu mkubwa katika ujenzi wa dunia yenye amani na ustawi.
Wanawake 6 wenye ulemavu wa ngozi kuukwea Mlima Kilimanjaro
Wanawake hao wanatarajiwa kuukwea mlima huo kuondoa dhana iliyoko kuhusu watu wa jamii yao.
TAMWA yazungumzia rushwa ya ngono kwa wanahabari wa kike
TAMWA inasema waandishi wanawake hawatoi ushirikiano wa kutosha kuhusu masaibu ya kingono wanayokumbana nayo kazini.
Ukatili wa kingono kwa watoto na wanawake wakithiri Tanzania
Ukatili wa kijinsia
Watu walio na sifa za jinsia mbili yani "Ke" na "Me"
Mwanariadha wa Afrika Kusini Caster Semanya alitawala vyombo vya habari wakati aliposhinda medali ya dhahabu kama mwanamke. Lakini jinsia yake ilileta utata kutia doa mafanikio yake. Hiki ni kitu ambacho watu wanaoitwa "wa jinsia ya tatu" wanaweza kukihusisha. Ryan Muriri ni mmojawapo. Tizama video ifuatayo.
Afrika katika magazeti ya Ujerumani
Hata hivyo Kabila amefanya uamuzi huo baada ya kuhakikisha kwamba ataendelea kuwa na usemi.
Kutana na Siti binti Saad
Mwanamuziki maarufu wa taarab kutoka Zanzibar, Siti binti Saad, alikuwa sauti ya wanawake wa Afrika Mashariki.
Wanawake wanaoongoza watalii Kilimanjaro
Inakadiriwa kwamba kati ya waongoza watalii mlimani 2000 waliopo sasa mkoani Arusha, wanawake hawazidi 10. Ni kweli kwamba wanawake hawaimudu kazi hiyo? Katika Wanawake na Maendeleo Veronica Natalis anazungumza na wanawake ambao wanafanya kazi ya kuongoza watalii mlimani, kwa Kiingereza mountain tour guide katika mlima Kilimanjaro uliopo nchini Tanzania.
Pigo kwa wasichana wajawazito Burundi
Mashirika ya haki za binadamu yamekosoa hatua ya Burundi ya kuwapiga marufuku wasichana wajawazito
Changamoto za wajane Afrika
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo Veronica Natalis anaangalia juhudi za wanawake wajane kutoka baadhi ya nchi za Afrika Mashariki ambao wanakabiliana na hali ngumu za uchumi katika familia zao, lengo likiwa kuwahamasisha wanawake wajane kufanya shughuli za kuwaingizia kipato na kuyamudu mahitaji ya familia zao baada ya waume zao kufariki.
Baraza jipya la Uhispania laapishwa likiwa na wanawake wengi
Baraza jipya la mawaziri la Uhispania, ambalo asilimia 65 ya mawaziri wake ni wanawake, limekula kiapo mjini Madrid leo Alhamis. Waziri Mkuu mpya wa nchi hiyo Pedro Sanchez, amesema linawakilisha kilicho bora kabisa katika jamii ya nchi hiyo. Kiapo hicho kimechukuliwa mbele ya mfalme wa nchi hiyo, Felipe VI.
Sanchez atangaza baraza la mawaziri lenye wanawake wengi
Waziri Mkuu wa Uhispania Pedro sanchez atangaza baraza la mawaziri lenye mawaziri 11 wanawake.
AI: Jeshi Nigeria liliwabaka wanawake
Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Amnesty International, limeitaka Nigeria kuyashughulikia madai kwamba wanajeshi na baadhi ya wanamgambo; wamewabaka wanawake na wasichana katika kambi za wakimbizi wa machafuko yanayosababishwa na uasi wa Boko Haram
Dhuluma za Kinyumbani
Victoria Larsbrey alimuacha mumewe aliyekuwa anampiga mwaka 2011 na kuwa mwanaharakati dhidi ya dhulma za kinyumbani. Anawataka wanawake wengine waufuate mfano wake. Lakini katika baadhi ya sehemu za Afrika, baadhi ya wanawake bado wanaamini kwamba wanaume wanastahili kuwapiga ili kuonyesha kwamba wanawapenda.
Wasichana wa "Chibok" watimiza miaka minne
Karibu nusu ya idadi ya wasichana hao wameokolewa huku waliosalia wakiwa hawajulikani waliko, miaka minne baadaye.
Mahakama Kenya yatoa uamuzi kuhusu mashoga
Mahakama ya Rufaa Kenya imetoa uamuzi kuhusu wanaume kupimwa kwa nguvu sehemu zao za kutolea haja kubwa.
Wanawake wanaojijenga katika tasnia ya ubunifu wa mavazi
Ungana na Amina Abubakar kusikia juu ya namna wanawake wanavyojitahidi kukuza sekta ya mavazi barani Afrika.
Boko Haram yawaachia wasichana iliowateka
Kundi hilo halikutaka malipo ya aina yoyote
Papa: Kuwanyanyasa wanawake ni uhalifu dhidi ya ubinadamu
Papa Francis ameutaja unyanyasaji wa wanawake kwa ajili ya ukahaba kuwa ni uhalifu dhidi ya ubinadamu.
Vijana wapambana na ukatili dhidi ya wanawake na watoto
Hawa Bihoga anajadiliana na Huzla Mchata kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), wakili Naeni Silayo na mwanaharakati anayetetea haki za wasichana. Fuatilia mjadala wao katika Makala hii ya Vijana Tugutuke.
Kwanini wanawake hawapewi haki sawa na wanaume?
Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Katika Vijana Mubashara wiki hii kijana tunakuuliza ni kwanini katika ulimwengu wa sasa bado wanawake hawapewi haki sawa na wanaume?
Je, wanawake leo hii wamekuwa na haki zaidi kuliko wanaume?
Asilimia 77 ya watu kusini mwa Jangwa la Sahara barani Afrika ni vijana chini ya miaka 35. Vijana Mubashara - 77 Asilimia ni jukwaa lao, kupitia DW. Katika Sabini na Saba asilimia kijana tunakuuliza, je, wanawake leo hii wanapewa haki zaidi kuliko wanaume kutokana na kampeni tofauti zinazoendeshwa kote ulimwenguni kupigia debe haki za wanawake?
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 14 wa 21
Ukurasa unaofuatia