You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
DW: Ukatili dhidi ya wanawake ukomeshwe
Wakati dunia ikiadhimisha siku ya kimataifa ya wanawake, wanawake kutoka idhaa mbalimbali za DW wameungana kupaza sauti ya kutaka kukomeshwa kwa ukatili dhidi ya wanawake na watoto wa kike. #Imetosha.
ILO: Wanawake bado wataabika kupata ajira
Bado wanawake walio katika ajira wanalipwa kidogo ikilinganishwa na wenzao wa kiume.
Siku ya wanawake duniani
Wasikilize waandishi wa Idhaa ya Kiswahili ya DW wakiyazungumzia matarajio yao mbele ya siku ya Kimataifa ya Wanawake ambayo mwaka huu inaadhimishwa tarehe 8 mwezi Machi.
Hofu ya utekwaji wa wasichana wa Chibok yarejea Nigeria
Zaidi ya wasichana 90 wa shule wanahofiwa kupotea baada ya watu wanaoshukiwa kuwa wanamgambo wa kundi la kigaidi.
Wanawake katika sekta ya gemu za computer
katika kipindi cha Sema Uvume utasikia malalamiko ya wanawake katika sekta ya gemu. Wengi wanakosoa mwonekano wa kingono wa wahusika wanawake, katika gemu hizo, na nafasi ndogo isiyokuwa na umuhimu mkubwa wanayopewa, kwa vile gemu nyingi zinatengenezwa na wanaume. Je kuna wanawake wenye uwezo wa kiteknolojia wa kutengeneza gemu?
Miaka 100 ya wanawake kupiga kura Uingereza
Baada ya Uingereza kubadili sheria zake, nchi nyingi zilifuata na kuruhusu wanawake kupiga kura.
Ukeketaji utakwisha lini?
Tanzania ni moja ya nchi ambazo zimekuwa zikichukua hatua kutokomeza mila na utamaduni wa ukeketaji.
Biashara ya majeneza Tanzania
Nchini Tanzania biashara ya majeneza inashamiri na vijana ndio wanaoonekana kuitawala sekta hiyo. Wasemaje kuhusu shughuli hii na gharama za mazishi siku hizi kwa ujumla? Papo kwa Papo
Uwakilishi wa wanawake kiuongozi wapungua
Kulikoni wakati huu kunaibuka tena wasiwasi wa uwakilishi wa wanawake kwenye vyombo vya maamuzi? Hata baraza la mawaziri la rais mpya wa Liberia George Weah halina mwanamke hata mmoja. Mwanaharakati Edda Sanga aliyeko nchini Tanzania anatoa maoni yake.
Tanzania: Elimu ya mtoto wa kike iko katika hali gani?
Shirika lisilo la kiserikali la Haki Elimu nchini Tanzania limetoa tathmini kuhusu juhudi zinazofanyika katika suala la elimu ya mtoto wa kike nchini humo. Zainab Aziz amezungumza na mkurugenzi wa shirika hilo bwana John Kallaghe. Yasikilize mahojiano hayo
Wanawake wa Saudi Arabia waruhusiwa kuingia uwanjani
Saudi Arabia yaruhusu wanawake kuingia kwenye uwanja kwa mara ya kwanza kutazama mechi ya soka.
Mtindo wa wasichana kubeba mikoba mikubwa
Lipi unalolijua au usilolijua kuhusiana na mtindo wa baadhi ya wasichana kubeba mikoba mikubwa mikubwa? Andamana na Jacob Safari katika makala ya Vijana Mchakamchaka akusimulie zaidi
Mchezo wa ndondi kwa wanawake Afrika
Mchezo wa ndondi si wa wanaume pekee. Wanawake pia wanacheza mchezo huo na hata kutia fora. Je mafanikio au changamoto zinazowakumba ni zipi? Fathiya Omar anasimulia zaidi kwenye makala ya Wanawake na Maendeleo
Kustaafu si mwisho wa maisha
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo, Fathiya Omar anatazama wanawake wastaafu na maendeleo yao. Utaweza kuelewa mengi kuwahusu na mchango wao katika jamii, ikiwa ni pamoja na changamoto zao, kuonyesha kwamba kuna maisha baada ya kustaafu.
Wanawake wa elimu ya chini wajizatiti kimaendeleo Kenya
Katika makala ya Wanawake na Maendeleo tunaangazia wanawake walio na elimu ya chini huko Kenya, jinsi wanavyojizatiti kuhakikisha kwamba wanajikimu kimaisha. Fathiya Omar anasimulia katika makala ifuatayo ambapo pia anaangazia changamoto zao.
Ujerumani yaikubali jinsia ya tatu
Watu hao sasa watakuwa wanatambulika na jinsia nyengine mbali na mwanamume au mwanamke.
Sodo zinazotumika zaidi ya mara moja Uganda
Ripoti ya Shirika la Umoja wa Mataifa kuhusu elimu, Sayansi na Teknolojia UNESCO inakadiria kuwa mmoja kati ya wasichana kumi Kusini mwa jangwa la Sahara hukosa kuenda shule wanapopata hedhi kwa sababu ya kukosa sodo. Msanii wa Uganda Sadat Nduhira amekuwa akiwafundisha wasichana namna ya kujitengenezea sodo kwa njia rahisi.
Wasichana Uganda waozwa wanapokosa uwezo wa kununua Sodo
Hali hii pia inaathiri masomo ya wasichana wengi wanaouvunja ungo kutokana na ukosefu wa vyoo dhabiti katika shule zao.
Mzozo wa Katalonia na wimbi la mrengo wa kulia Magazetini
Mzozo wa Katalonia na wimbi la mrengo wa kulia Magazetini
Wanawake katika bunge la Ujerumani
Mwaka uliopita, jarida mashuhuri la uchumi la Marekani, Forbes, lilichapisha orodha ya wanawake wenye nguvu na ushawishi mkubwa duniani na aliyeshikilia nafasi ya kwanza alikuwa Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel. Merkel ataiongoza tena nchi yake katika muhula wa nne. Nini nafasi ya wanawake katika bunge jipya la Ujerumani lililochaguliwa Septemba mwaka huu?
Viongozi hawajui mambo yanayowakabili wasichana, wanawake.
Viongozi katika mataifa yanayoendelea hawajui maswala yanayowakabili wasichana na wanawake.
Hatimaye Saudi Arabia yawaruhusu wanawake kuendesha gari
Mnamo mwaka 2014, wanawake wawili wa Kisaudi walitiwa nguvuni kwa zaidi ya miezi miwili kwa kukiuka amri hiyo.
Wanawake nchini Jordan wapigania haki zao
Wanawake Jordan wanakamatwa wanapojaribu kutetea haki zao na haki za jamaa zao,kwasababu ya kulindwa heshima ya familia.
Uholanzi mabingwa wa Ulaya
Fainali ya kombe la ubingwa wa Ulaya kwa kandanda la Wanawake nchini Uholanzi ilikuwa ya kuvutia kabisa
Ujerumani yatolewa dimba la Ulaya kwa wanawake
Ujerumani ilizabwa mabao mawili kwa moja na Denmark katika mtanange wa robo fainali
Muuguzi awasaidia wanawake wa Ethiopia waliorudi nyumbani
Muuguzi mahiri Abay Kassahun amejitolea katika kazi yake kuwasaidia wanawake waliokabiliwa na mateso katika nchi za kigeni walikokwenda kutafuta maisha mazuri. Mbali na msaada wa kisaikolojia, wengine wanahitaji ushauri wa afya. Hata huwatembelea wateja wake nyumbani kwao. Kazi yake imempa jina la utani:Muuguzi mtembezi.
Msaada kwa akina mama wa umri mdogo Kenya
Wasichana wapatao 1,300 nchini Kenya hulazimika kuacha masomo kila mwaka kutokana na mimba za utotoni. Maryam Mzee anawasaidia akina mama wenye umri mdogo kurejea shuleni na kuendelea na masomo yao.
Magufuli akataza wenye mimba kurudi shuleni
Katika makala ya Mbiu ya Mnyonge, Mohamed Dahman anaangazia amri ya Rais wa Tanzania, John Magufuli, kukataza wasichana wenye mimba kurejea shuleni. Watetezi wa haki za binadamu wanasemaje kuhusu jambo hilo?
Uzazi wa siri nchini Germany
Lakini wataalam wanasema hatua hiyo haiwasaidii wanawake wote wanaoihitaji kutokana na sababu mbalimbali
Ujerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja
Ujerumani yaidhinisha ndoa za jinsia moja
Ndowa ya watu wa jinsia moja huenda ikaruhusiwa Ujerumani
Ndowa ya watu wa jinsia moja huenda ikaruhusiwa Ujerumani
Merkel alegeza msimamo kuhusu ndoa za jinsia moja
Angela Merkel aonekana kulegeza msimamo kuhusu ndoa za jinsia moja Ujerumani
Shirika la CCC lawahifadhi watoto
Watoto wasichana wahifadhiwa kuepuka na biashara ya ukahaba nchini Sudan ya Kusini
Wasichana wa Chibok waungana na wenzao
Zaidi ya wanafunzi 200 wa kike walitekwa nyara miaka mitatu iliyopita katika shule moja mjini Chibok.
Wafanyakazi wa Ethiopia wanaorudi kutoka Arabuni
Abay Kassahun amejitolea kuwasaidia wanawake walio nyanyaswa nchi za nje walipokuwa wakitafuta maisha bora.
Wanaume wanaogopa wanawake wenye akili?
Tunataka kufahamu ni dhana tu au ni kweli kuwa wanaume walio wengi wanatishika na wanawake waliowazidi kielimu au kimapato. Watajichanganya nao, kunywa vinywaji pamoja na hata kuvutiwa nao, lakini linapokuja swala la mahusiano wanasema ni moto wa kuotea mbali. Ikiwa huo ndio ukweli, basi nani wa kulaumiwa, wanawake au wanaume?
Wagombea wanawake Kenya walia na vitisho
Uchaguzi mkuu unafanyika mwezi Agosti
Waganda wajiandaa kwa Siku ya Mama
akina mama mashuhuri nchini Uganda wameshiriki katika kazi zinazofanywa na wenzao wa tabaka la chini.
Kuna rangi za kiume na za kike?
Hiyo ni dhana inayojitokeza pindi mtoto anapozaliwa kwani yule wa kike mara nyingi utamkuta amevalishwa mavazi ya rangi ya pinki na yule wa kiume mavazi ya bluu. Ni rangi gani ya mavazi yanaendana na rangi yako ya ngozi? Na unaweza kuyapangilia vipi mavazi yako kirangi? Jane Nyingi atakufahamisha katika Vijana Mchakamchaka.
Wanawake wanaoshona nguo kutumia sufu
Bernard Maranga ametembelea wanawake wa Kitale, Kenya, kujionea juhudi za ushonaji mavazi na bidhaa nyingine mbalimbali kutokana na manyoya ya kondoo zinazotekelezwa na mama mmoja nchini Kenya. Yote hayo katika Wanawake na Maendeleo.
Ufahamu ugonjwa wa kifafa cha mimba
Wanasema mwanamke aliyelala na wanaume wengi ndiye anayeshikwa na kifafa cha mimba (eclampsia) hivyo anatakiwa kuwataja wote aliowahi kulala nao na jina la baba wa mtoto likitajwa ndipo kifafa kinaisha. Ya kweli hayo? Hawa Bihoga anafafanua yote unayopaswa kujua katika makala ya Afya Yako.
Buhari akutana na wasichana 82 wa Chibok
Wasichana hao waliachiwa huru baada ya serikali ya Nigeria kuwaachia makamanda watano wa Boko Haram
Wasichana 82 wa Chibok waachiwa huru na Boko Haram
Wasichana hao 82 wa Chibok walioachiwa huru Jumamosi ni kati ya wasichana 200 waliokuwa bado wanazuiwa na waasi hao
UN: Hakuna usawa wa kijinsia Afrika
Aidha, raia wengi Afrika, hasa wanawake na wakazi wa vijijini, wameachwa nyuma kimaendeleo.
Matumizi ya data kuwaendeleza wanawake Tanzania
Taarifa zinapohifadhiwa huleta manufaa muhimu kwa mtu mmoja mmoja na hata kwa jamii nzima kwa jumla.
Wasichana wanasoka Kilifi, Kenya
Mchezo wa soka aghalabu huchukuliwa kama mchezo unaostahili kuchezwa na wanaume tu kutokana na jinsi ulivyotawaliwa na jinsia hiyo kote ulimwenguni. Anapoonekana mtoto wa kike akicheza soka, wengi humtazama kwa mshangao. Lakini sivyo ilivyo katika pwani ya Kenya, kwani watoto wa kike wameuvalia njuga mchezo huu na kwa kweli unawabadilishia maisha yao
Msaada kwa wajawazito wanaokatisha masomo
Nchini Tanzania, Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima imefanikisha mpango wa kuwarudisha mashuleni.
Changamoto kwa wanawake katika karne ya dijitali
Ni ipi nafasi ya mwanamke katika zama hizi za mawasiliano ya kidijitali? Mawasiliano haya yamemsaidia vipi mwanamke katika kudai haki zake, heshima pamoja na usawa katika jamii? Ungana na Mohammed Kehelf usikie zaidi.
Yaliyovuma mtandaoni kuhusu haki za wanawake
Janusz Korwin-Mikke akemewa kwa matamshi yake dhidi ya wanawake na India wakumbusha wanawake na wanaume ni sawa.
Hali ya wanawake wa DRC Mashariki
Wanawake wanaoishi mjini Beni wanashinwa kufanya shughuli zao za kila siku na hivyo kusababisha ufukara wa familia.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 15 wa 21
Ukurasa unaofuatia