You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi wa Marekani 2024
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Ukraine
Ukraine ndiyo nchi kubwa kabisa barani Ulaya. Ina wakaazi wapatao 43,000,000.
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Ukraine yafunga mabomba ya gesi ya Urusi kwenda Ulaya
Moldova imetangaza hali ya hatari na Slovakia inatishia Kyiv kulipiza kisasi dhidi ya Kyiv
Matangazo ya Jioni | Disemba 31, 2024
Urusi yaishambulia Ukraine kwa droni na makombora
Mamlaka zimekiri kwamba kulikuwa na mashambulio yaliyofanikiwa mashariki mwa nchi hiyo na karibu na mji mkuu, Kyiv.
Umoja wa Ulaya kutumia njia mbadala kuagiza gesi
Msemaji wa Halmashauri ya EU amesema umoja huo unamiundombinu za kutosha kusafirisha gesi Ulaya ya Kati na Mashariki.
Urusi na Ukraine zabadilishana mamia ya wafungwa wa kivita
Urusi na Ukraine zimefanya mabadilishano kadhaa ya aina hiyo ya wafungwa wakati wa vita vyao vya karibu miaka mitatu.
Ujerumani yawashitaki watu watatu kwa njama ya ujasusi
Mshukiwa mkuu Dieter S. inaaminika ni mwanamgambo mkongwe wa kundi la wapiganaji wanaoiunga mkono Urusi nchini Ukraine.
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Biden atangaza msaada mpya wa dola bilioni 2.5 kwa Ukraine
Urusi inasema ilizuia njama ya kuuwawa afisa na mwanablogu
Urusi inasema ilizuia njama ya Ukraine ya kumuua afisa wake na mwanablogu
Marekani yasema Urusi iliidugua kimakosa ndege ya Azerbaijan
Taarifa za intelijensia ya Marekani zinasema Urusi huenda iliiangusha kimakosa ndege ya abiria ya Azerbaijan.
Zelenskiy adai Korea Kaskazini imepata hasara kubwa Kursk
Zelenskiy ameitaka China kutumia ushawishi wake kwa Korea Kaskazini kuizuwia kutuma wanajeshi wake Urusi.
Urusi yatwaa vijiji vingine viwili vya mashariki mwa Ukraine
Korea Kusini imesema mwanajeshi wa Korea Kaskazini aliyechukuliwa mateka na jeshi la Ukraine amefariki dunia
Wataalamu: Mifumo ya Urusi iliiangusha ndege ya Azerbaijan
Ndege hiyo chapa Embraer 190 alianguka ikijaribu kutua Aktau, Kazakhstan, ikiwa njiani ikitokea Baku kwenda Grozny.
Urusi yataka ihakikishiwe usalama katika mkataba wa Ukraine
Moscow inataka mpango wa kisheria utakaoleta amani ya kudumu na kuhakikisha usalama wa Urusi na majirani zake.
Ukraine: Russia yafanya mashambulizi ya "kinyama" Krismas
Russia yapiga sekta ya nishati tena na kuwaacha wengi bila umeme. Biden alaani shambulio na kuiahidi msaada zaidi Kyiv.
Urusi yafanya mashambulio makubwa Ukraine
Ukraine inakabiliwa na majira ya baridi kali zaidi kuwahi kutokea
Urusi yaushambulia mji wa nyumbani wa Zelensky wa Kryvyi Rih
Kryvyi Rih, mji wa nyumbani wa Rais Volodymyr Zelensky, umekuwa ukishambuliwa mara kwa mara na makombora na droni.
Hotuba ya Krismasi: Rais wa Ujerumani atoa wito wa umoja
Rais wa Ujerumani pia ametuma ujumbe kwa vijana wa nchi hiyo. Amewaambia kuwa wanahitajika katika maeneo mengi
Mkuu wa NATO amkingia kifua Kansela Scholz
Mkuu wa NATO amkingia kifua Kansela Scholz.
Fico na Putin wakutana Moscow kuijadili Ukraine
Hii ni ziara ya nadra kwa kiongozi wa taifa mwanachama wa Ulaya kuitembelea Moscow, tangu Urusi ilipoivamia Ukraine.
Wanaeshi 1100 wa K. Kaskazini wauawa au kujeruhiwa Ukraine
Korea kusini yasema wanaeshi 1100 wa Korea kaskazini walioko Ukraine wamejeruhiwa au kuuawa
Urusi yasema imezidungua droni 42 za Ukraine
Mashambulizi hayo ya droni ya Ukraine ni ya wiki ya pili mfululizo na yanalenga miundombinu ya mafuta ya Urusi.
IMF yaidhinisha dola bilioni 1.1 kwa ajili ya Ukraine
Hatua hiyo itaisaidia Ukraine kujiimarisha katikati ya mashambulizi ya Urusi katikati ya madhara makubwa ya vita.
Gaza, Ukraine, sera ya ndani vyatia kiwingu urathi wa Biden
Kipaumbele chake ni kujenga urathi wake katika uzalishaji wa ndani huku akijaribu kudhoofisha ahadi za Trump.
Russia yaigusa pabaya Ukraine, Kyiv yajibu mapigo
Shambulio la Ukraine limeua watu sita nchini Urusi, baada ya Urusi kuivurumishia mvua ya makombora Kyiv.
Urusi na Ukraine zashambuliana kwa makombora
Urusi imesema Ukraine ilitumia makombora sita aina ya ATACMS ya kutengenezwa na Marekani.
Wakuu wa EU wakutana Brussels mara ya mwisho kwa mwaka 2024
Mkutano wa kilele mjini Brussels ni wa mwisho kwa viongozi wa Umoja wa Ulaya kwa mwaka huu wa 2024.
Putin asema Urusi tayari kwa mazungumzo na kuhusu Ukraine
Rais wa Urusi Putin amesisitiza haja ya kuboresha mfumo wa ulinzi ili kuepuka makosa makubwa kama hayo.
Viongozi wa EU wasema wataendelea kuiunga mkono Ukraine
Mkutano huo pia utajadili changamoto za kiusalama na kiuchumi zinazoweza kutokea baada ya Trump kurejea madarakani.
19.12.2024: Taarifa ya Habari ya Asubuhi
Taarifa ya habari ya Asubuhi kutoka maeneo mbalimbali ulimwenguni inasikika hapa. Miongoni mwa nyinginezo ni Rais Volodymyr Zelensky awaomba washirika wa Ulaya kuungana kuisaidia Ukraine: Uturuki yatolea wito mataifa makubwa kuliondoa kundi linalotawala Syria kwenye orodha ya magaidi Na Kimbunga Chido chawaua watu 13 nchini Malawi, huku 45,000 wakiathirika. Sikiliza zaidi.
Zelensky aomba washirika wa Ulaya kuwasaidia kwa umoja
Kuna wasiwasi barani Ulaya kwamba serikali ya Trump huenda itajaribu kuishinikiza Ukraine kufanya makubaliano.
Urusi yapuuza sheria ya kudhibiti silaha
Urusi imeipuuza sheria ya udhibiti wa silaha zilizotengenezwa tangu enzi za Vita Baridi ikisema imepitwa na wakati.
Ukraine yasema wanajeshi wengi wa Korea Kaskazini wameuawa
Shirika la ujasusi la Ukraine limesema leo kuwa vikosi vya Korea Kaskazini vinavyolisaidia jeshi la Urusi kulikomboa ene
Urusi: Ukraine imekuwa ikitumia silaha za kemikali
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema leo kwamba Ukraine imekuwa ikitumia mara ya kwa mara kemikali ya sumu aina ya Ph
Urusi yadai kumzuilia mshukiwa aliyemuua Igor Kirillov
Urusi imesema inamzuilia mshukiwa aliyemuua Luteni Jenerali Igor Kirillov mjini Moscow.
Kipi kitakachofuata baada ya mauaji ya Jenerali wa Urusi Kirillov?
Ukraine imesema imemuuwa afisa mwandamizi katika jeshi la Urusi Jenerali Igor Kirillov, kwa kutumia bomu lililokuwa limetegwa nje ya nyumba moja ya makaazi. Sasa kuuwawa kwa Kirillov ni pigo kwa kiasi gani kwa Urusi? Swali hilo na mengine Jacob Safari amemuuliza mchambuzi wa siasa za kimataifa kutoka mjini Cologne, Ujerumani, ambaye pia alikuwa mhariri mkuu wa DW Mohammed Abdul-Rahman.
Viongozi wa mataifa ya Ulaya na NATO kuijadili Ukraine
Viongozi kadhaa wa mataifa ya Ulaya watakutana leo mjini Brussels kujadili uungaji mkono zaidi kwa Ukraine.
Ukraine yaashiria kuhusika na mauaji ya Kirillov
Ukraine yaashiria kuhusika na mauaji ya Kirillov
Israel inataka kuwa na udhibiti kamili wa usalama mjini Gaza
Israel inataka kuwa na udhibiti kamili wa usalama mjini Gaza baada ya usitishwaji mapigano
Urusi: Jenerali wa ulinzi wa nyuklia Igor Kirillov auawa
Jenerali maarufu nchini Urusi Igor Kirillov ameuawa pamoja na msaidizi wake mapema Jumanne katika mripuko mjini Moscow.
Trump aahidi tena kumaliza "mauaji" ya vita vya Ukraine
Donald Trump amesema atafanya mazungumzo na viongozi wa Ukraine na Urusi kumaliza vita.
Mawaziri wa EU wasaini vikwazo vipya dhidi ya Russia
Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Ulaya wamesaini awamu ya 15 ya vikwazo vipya dhidi ya Russia.
Waziri Mkuu wa Uingereza ziarani Norway na Estonia
Waziri Mkuu wa Uingereza Keir Starmer anaitembelea Norway leo Jumatatu.
Ukraine yashambulia kituo cha mafuta ndani ya ardhi ya Urusi
Ndege zisizo na rubani za Ukraine zashambulia 'kituo cha miundombinu ya mafuta' katika eneo la Orlov nchini Urusi
14.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
Urusi yampongeza Trump kwa kuikosoa Ukraine
Urusi imempongeza Donald Trump kwa kukosoa hatua ya Ukraine kushambulia ndani ya Urusi kutumia makombora ya Marekani.
Urusi yashambulia miundombinu ya nishati ya Ukraine
Mashambulizi hayo ya Urusi kwenye miundombinu ya nishati ya Ukraine yamekuwa yakisababisha kukatika kwa umeme.
Marekani yatangaza msaada mpya kwa Ukraine
Serikali ya Rais wa Marekani Joe Biden, imetangaza msaada mwingine wa silaha kwa Ukraine wa thamani ya dola milioni 500.
13.12.2024: Taarifa ya habari za asubuhi
Sikiliza taarifa ya habari za asubuhi ya DW Kiswahili
EU yajitolea kuandaa kikosi cha kulinda amani Ukraine
Umoja wa Ulaya umejitolea kusaidia katika majadiliano ya kuandaa kikosi cha kulinda amani nchini Ukraine.
Mawaziri wa Ulaya kujadili uungaji mkono kwa Ukraine
Mawaziri kadhaa wa Ulaya pamoja na mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya kujadili kuiunga mkono zaidi Ukraine.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 1 wa 69
Ukurasa unaofuatia