You need to enable JavaScript to run this app.
Nenda kwenye maudhui
Nenda kwenye orodha kuu
Nenda tovuti zaidi za DW
Vidio zetu
Sauti zetu
Maeneo
Tanzania
Kenya
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo
Afrika
Ulaya
Mada
Haki za binadamu
Mazingira
Afya
Teknolojia
Kategoria
Matukio ya Kisiasa
Masuala ya Jamii
Michezo
Yanayoangaziwa
Uchaguzi Mkuu wa Ujerumani 2025
Mzozo wa Israel na Hamas
Bundesliga
Sauti zetu
Vidio zetu
Matangazo
Wanawake
Ruka sehemu inayofuata Maudhui yote kwenye mada hii
Maudhui yote kwenye mada hii
Wasichana – Kipindi 4 – Udhalilishaji kingono I
Katika kipindi hiki chenye sehemu mbili, tutazungumzia juu ya udhalilishaji kingono. Bibiy msichana mtukutu lakini siku zote aliye tayari kusaidia, atamsaidia rafiki yake ambaye anakabiliwa na tatizo kubwa la kibinafsi.
Wasichana – Kipindi 3 – Mtandao
Bibiy na rafiki yake wanaanzisha mtandao wao. Unawahamasisha wasichana kufikia malengo yao, kujifunza kwa kutumia mtandao wa intaneti na kuwapa nafasi ya kuweza kuendesha mijadala.
Wasichana – Kipindi 2 – Kujiamini
Katika kipindi hiki tutazungumzia juu ya vijana na kujiamini. Bibiy msichana mwenye kiburi lakini mrembo, atamsaidia rafiki yake kuwa huru kujieleza.
Wasichana – Kipindi 1 – Ndoa za lazima
Katika kipindi hiki cha kwanza tunazungumzia juu ya ndoa za lazima na elimu muhimu kwa wasichana. Bibiy atamsaidia rafiki yake ambaye wazazi wake wanataka aache shule ili aolewe na mzee mwenye pesa.
Wahariri wazungumzia siku ya wanawake duniani
Akina mama washerehekea miaka mia moja ya harakati zao za kupigania haki
Wanawake kabla na baada ya ukuta kuporomoka
Hali ya wakinamama wa mashariki na magharibi ya Ujerumani miaka 20 baada ya ukuta kuporomoka
Ban atangaza dola bilioni 40, kuimarisha afya ya wanawake.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon leo ametangaza kiasi cha dola bilioni 40 kwa ajili ya kuimarisha afya kwa wanawake na watoto, ambapo amesema inaweza kuokoa mamilioni ya maisha ya watu duniani kote.
Gaddafi awahimiza wanawake vijana Uitalia kuingia Uislamu
Mualiko wa kiongozi wa Libya Muammar Gaddafi kwa mamia ya wanawake vijana kubadili dini na kuwa Waislamu,umegubika ziara yake ya siku mbili nchini Uitalia iliyokuwa na nia ya kuimarisha uhusiano kati ya Tripoli na Rome.
Mashirika ya UNIFEM na UNDP yashadidia suala la jinsia katika uchaguzi wa Tanzania
Uchaguzi watarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu
Timu ya soka ya wanawake ya Turbine Potsdam ya Ujerumani yatawazwa mabingwa barani Ulaya.
Klabu ya Turbine Potsdam ya Ujerumani jana mjini Madrid ilifanikiwa kutwaa ubingwa wa kandanda kwa vilabu vya wanawake barani Ulaya, baada ya kuchapa Olympique Lyon mabao 7-6.
Mauaji ya mjini Jos, Nigeria
Raia wa Jos waghadhabika, Polisi walaumiwa.
Lugha na jinsia
Utata katika lugha na jinsia
Wanawake kabla na baada ya ukuta kuporomoka
Hali ya akinamama wa mashariki na magharibi ya Ujerumani miaka 20 baada ya ukuta kuporomoka
Wanawake Tanzania waandamana kupambana na huduma mbaya za Afya
<p>Nchini Tanzania asasi zisizokuwa za kiserikali zipatazo 18 zimeandaa jukwaa lililo la wazi kujadili na kupeana changamoto katika kupambana na unyanyasaji kijinsia na vifo vya akina mama na watoto.
Lebanon: Wanawake katika siasa za kiukoo
Lebanon: wanawake katika kinyanganyiro cha kisiasa
Wasichana walazimika kuolewa mapema kutokana na dini na umaskini Zimbabawe
Wasichana wengi wadogo waacha shule
Wanawake katika siasa
Kansela Angela Merkel awahimiza wakinmama wa humu nchini wajishughulishe zaidi na siasa
Ubaguzi dhidi ya wanawake bado waendelea
Haki za binadamu zinapaswa kutetewa na kuhifadhiwa.Haki hizo hazitetewi tu na mashirika kama Amnesty International na Human Rights Watch,bali huo ni mfumo wa Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa.
Wanawake sharti wapewe ulinzi
Kila mwaka siku ya kimataifa ya kupinga ukatili dhidi ya wanawake huadhimishwa tarehe 25 mwezi Novemba.Maadhimisho hayo yamekuwa yakifanyika tangu mwaka 1981 baada ya mauaji katili yaliyowasibu ndugu watatu wa kike
Ugonjwa wa saratani ya kizazi huwakumba zaidi wanawake katika nchi zinazoendelea
Kati ya wanawake 490,000 duniani kote wanaobainika kuugua saratani ya kizazi kila mwaka, asilimia 80 wanaishi katika nchi zinazoendelea. Kila mwaka wanawake 55,000 wa Jangwa la Sahara peke yake wanaugua ugonjwa huo.
Wanawake waandamana nchini DRC kupinga vitendo vya Ubakaji
Maelfu ya wanawake wa Kongo wameandamana mjini Kinshasa ilikupinga vitendo vya ubakaji wanavyotendewa wanawake wenzao na ukosefu wa usalama mashariki mwa nchi hiyo.
Wanawake Zimbabwe waanadamana
Zaidi ya wanawake 300 nchini Zimbabwe juma hili waliandamana kuchagiza kufikiwa muafaka kati ya vyama hasimu vya kisiasa nchini humo.
Wanawake mjini Goma, DRC waandamana dhidi ya vita vinavyoendelea kati ya majeshi ya Serikali na Waasi wa CNDP
Nchini Kongo wanawake wameandamana mjini Goma mashariki ya nchi hiyo wakiwa lengo la kulalamikia vita vinavyoendelea kwenye eneo hilo.
Harakati za kujenga uongozi wa wanawake Somalia
Kundi la wanawake 60 wa Kisomali limekuwa na kikao cha wazi cha aina yake wiki iliopita kushirikiana mawazo juu ya dhima ya mwanamke katika mchakato wa amani katika nchi yao ilioathirika na vita .
Wanawake wa Afrika na olimpik
Wasichana wa Ethiopia na Kenya watarajiwa kurudi na medali za dhahabu kutoka Beijing.
Waanglikana waruhusu maaskofu wanawake
Kanisa la kianglikana la England limepiga kura kuruhusu maaskofu wanawake licha ya kuwepo wasiwasi kwamba hatua hiyo huenda ikazusha mgawanyiko mkubwa.
Kushuka kwa uchumi Zimbabwe kwa walazimu wanawake kujiuza wapate chakula.
Wanawake nchini Zimbabwe wamekuwa wakilazimika kuuza miili yao kwa ajili ya kujipatia chakula nchini Msumbiji.
Wanawake wachangamkia kusakata gozi uwanjani Ujerumani.
Kabumbu sio mchezo wa wanawake hiyo ni kauli iliyotolewa hapo mwaka 1955 na aliyekuwa rais wakati huo wa Chama cha Soka Ujerumani na kuongeza kwamba suala hilo katu halitopewa uzito.
Unyanyasaji wa wanawake uadhibiwe vikali zaidi
Kwa mujibu wa Umoja wa Mataifa kutoka kila wanawake watatu duniani,mmoja atakuwa muhanga wa unyanyasaji.
Sheria kali zatowesha ndoto za maendeleo kwa wanawake wa Iraq.
Wakati mmoja mwanamke alikuwa na haki zaidi na uhuru nchini Iraq, kuliko mahala kwengine kokote katika kiarabu. sasa hali ni kinyume na ndoto ya mwanamke hasa katika elimu na nafasi ya kujiendeleza imeanza kutoweka.
Wanawake waathiriwa zaidi na Ukimwi
Inabidi kubadilisha kabisa mbinu katika kupambana na ukimwi. Haya wanayasema wachunguzi wa shirika la Umoja wa Mataifa wanaoandaa ripoti juu ya hali ya wanawake kuhusu ukimwi.
Benki ya dunia yatoa ripoti mpya kuhusu uhamiaji wa wanawake.
Benki ya dunia imetoa ripoti mpya juu ya uhamiaji wa kimataifa wa wanawake. Ripoti hiyo inasema nusu ya idadi ya wahamiaji ni wanawake.
Michezo. Ujerumani kuwa mwenyeji fainali za wanawake.
Hujuma za madage ya marekani zagharimu maisha ya wanawake na watopto 15 Iraq
Kombe la dunia la wanawake
Ujerumani imetwaa kwa mara ya pili mfululizo kombe la dunia la wanawake.Dimba la akina dada limepiga hatua gani ?
Timu ya wasichana ya Ujerumani mabingwa wa dunia.
Wakati timu ya wasichana wa Ujerumani imetoroka kwa mara ya pili na kombe la dunia la dimba,muethiopia Haile gebrselassie ameweka rekodi mpya ya dunia mjini Berlin katika marathon.
Wanawake wamebaki wamekwama katika biashara ndogo ndogo, Afrika mashariki.
Nchini Malawi kiasi cha zaidi ya robo ya masuala yote ya nyumbani yanaongozwa na wanawake. Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi na kiasi cha asilimia 80 ya Wamalawi wanategemea moja kwa moja sekta hii. Kukiwa na wastani wa watoto sita kwa kila kaya, wanawake wengi hufanya biashara ndogo ndogo ili kuongeza kipato kitokanacho na kilimo.
Makundi ya wanawake yapaza sauti
Sauti zinazidi kupazwa kuwapa wanawake nafasi ya kushirikiana zaidi katika maamuzi ya kupanga sera,huku viongozi wakijitayarisha kuhudhuria mkutano wa kimataifa mjini New York kujadili mabadiliko ya hali ya hewa.
KAMPALA:Pingamizi dhidi ya ndoa ya jinsia moja zapamba moto
NAIROBI: Wswaada wa viti 50 kwa wanawake washindwa bungeni
Uwakilishi wa wanawake bungeni nchini Kenya
Zaidi ya wanawake 200 leo waliongozana hadi katika majengo ya bunge jijini Nairobi kuwasilisha pendekezo lao la kutaka wapewe nafasi 50 za uwakilishi bungeni mswaada ambao uliendelea kujadiliwa katika kikao cha bunge leo hii.
Kabul. Taleban wawaachilia huru wanawake wawili.
Ukosefu wa Haki za Wanawake Majumbani
Kwa mara ya kwanza,kuna uwezekano mzuri kwa mwanamke kushinda uchaguzi wa rais nchini Argentina.Lakini usawa wa jinsia majumbani,upo nyuma kabisa.
HARARE: Wanawake wa Zimbabwe wateseka
ISLAMABAD : Wanawake wa Kichina waachiliwa
Wanawake weusi wateseka Latin Amerika na eneo la Carribean
Kuna wanawake kiasi cha 75 millioni wenye asili ya kiafrika katika Amerika ya Kusini na eneo la Carribeanwanaomudu kupata nyadhifa za juu katika ulingo wa siasa au kazi za serikali ni chini ya 50.
Mkutano wa kibiashara wa wanawake mjini Berlin
Mkutano wa 17 wa wanawake kuhusu Biashara ,ulimazika mwishoni mwa week mjini Berlin nchini Ujerumani kwa mwito wa kuwepo utandawazi wakiuchumi na changamoto za kibiashara.
Wanawake nchini Burkina faso
Wanawake nchini Burkina faso wanadai na wao wapewe nyadhifa muhimu, katika kuendesha utawala bora wa nchi hio ya Burkina faso.
Wito wa wanawake kuwa na madaraka zaidi nchini Tanzania
Wabunge wanawake katika bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamepewa changamoto kuwa kusimamia hoja zinazotetea maslahi ya wananchi ni muhimu kuliko kuangalia maslahi ya vyama vyao.
Wabunge wanawake wa Tanzania wataka kujijengea imani
Wabunge wanawake katika bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wamepewa changamoto kuwa kusimamia hoja zinazotetea maslahi ya wananchi ni muhimu kuliko kuangalia maslahi ya vyama vyao.
Ukurasa uliotangulia
Ukurasa 19 wa 21
Ukurasa unaofuatia